Rose Muhando – Secret Agenda Lyrics

Secret Agenda

Siri Agenda

Secret Agenda

Siri Agenda

[Verse 1]
Kwanza namushukuru Mungu aliyeniponza machungu

Na maneno ya walimwengu

kweli Mungu sio mzungu

Hafitinishwi na majungu

Hakuninyima langu fungu

Amepindua agenda

Ameharibu agenda

Amezifuta agenda

Amepindua agenda

 

Bado bado bado bado

Nasema hamjaona bado

Mawazo ya Mungu ni fumbo (Remember)

Akili za Mungu ni fumbo (Remember)

Wachawi ongezeni bando

Wapigieni wakibondo

Wabadilishe na mitindo

Sio kila siku kuruka na ungo

Tupigieni na mabondo

Akome kuroga na mafundo

Neno la Mungu ni nyundo

Sio kama gazeti la Shigongo

Yeye hachunguziki

Ni mwamba hatikisiki

Wala hapendi kiki

anapenda sifa na muziki

[Bridge]
Yeye anasema kamata pindo

Cheza serebuka leta mdundo

Yeye anasema Kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Secret Agenda

Siri Agenda

Secret Agenda

Siri Agenda

[Verse 2]
Never never never never know

Adui zangu hawanipati ng’oo

Maisha yangu yamekwenda viral

Yesu amenifunga namba serial

Adui zangu wamebaki na video

Yeah I am a fighter

It is better

Yeah I am a fighter

It is better

Nitapinfua agenda

Nitaharibu agenda

Nitazifuta agenda

Nitaharibu nitang’ang’ana kama defender

Nitaharibu nitang’ang’ana kama defender

No retreat no surrender

[Bridge]
Yeye anasema kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Yeye anasema Kamata pindo

Cheza serebuka lete mdundo

Secret Agenda

Siri Agenda

Secret Agenda

Siri Agenda

Share this
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Most Upvoted
Newest Oldest
Inline Feedbacks
View all comments